Swahili

 • Una weza pata vipindi vyote vilivyo tangazwa kwenye podcast iliyo kwenye tovuti yetu: www.sbs.com.au/swahili 

Subscribing to an SBS podcast couldn't be easier. Simply click the Subscribe button and select your preferred subscription method from the menu. Podcasting help.

Latest Episodes

Mwongozo wa Makazi: Jinsi yaku pata kodi ya mafao ya familia

Shinikizo la gharama ya maisha inazua wasi wasi kwa familia nyingi nchini Australia.

 

 

 • Upload27 Jun 2017

 • Duration07 Minutes

 • Download4MB

Bibi atumia kifaa maalum kutembea

Waziri kutathmini ripoti baada ya madai kuhusu huduma ya uzeeni

Serikali ya shirikisho ita chunguza upya ripoti kuhusu sekta ya huduma ya uzeeni, hatua hiyo ina jiri baada ya madai yaliyo peperushwa dhidi ya mmiliki wa kijiji cha wastaafu.

 

 • Uploaded27 Jun 2017

 • Duration06 Minutes

 • Download3MB

jengo la Grenfell lililo teketea kwa moto mjini London

Uelewa wa kinga ya moto katika magorofa

Idadi ya walio fariki katika moto ndani ya jengo la Grenfell mjini London, ina tarajiwa kuongezeka mamlaka inapo endelea kuchunguza tukio hilo.

 • Uploaded20 Jun 2017

 • Duration20 Minutes

 • Download10MB

Sydney Opera House na kituo cha kati ya biashara cha Sydney, Australia

Janga la London lazua wasi wasi kuhusu usalama wa moto wamajengo nchini Australia

Watu wengi wana uliza njinsi moto katika jengo la Grenfell mjini London ulisambaa haraka.

 

 • Uploaded20 Jun 2017

 • Duration04 Minutes

 • Download2MB

Familia ya wakimbizi

Mwongozo wa Makazi: Upatikanaji wa huduma za afya ya akili ni muhimu kwa wakimbizi

Kila mwaka, maelfu ya wakimbizi na waomba hifadhi huwasili nchini Australia.

 

 

 • Uploaded20 Jun 2017

 • Duration08 Minutes

 • Download4MB

Podcast Help

Podcasting is a free service to subscribe to your favourite SBS programmes. If you're new to podcasting check out our help section to get started.

ADVERTISEMENT

DVDs and Downloads at the SBS Shop

Visit the SBS Shop online for DVDs and downloads of the programs you love.

Books at the SBS Shop

Visit the SBS Shop online for fascinating books and inspiring cookbooks perfect for home and as gifts.