SBS Radio App

Download the FREE SBS Radio App for a better listening experience

Advertisement
1209items
Mapema mwezi huu, serikali ya shirikisho ilipitisha muswada wake wa makato ya kodi kwa ma milioni ya wafanyakazi nchini Australia, iliyo ahidiwa katika kikao cha wiki ya kwanza tangu uchaguzi mkuu wa Mei.
Katika wiki mbili zilizo pita, wanasiasa wa shirikisho wamekuwa wakijumuika na wapiga kura katika maeneo bunge yao. Hata hivyo serikali haija pata mapumziko yoyote wiki hii... Wiki yakisiasa nchini ilikamilika kwa mkutano kati ya waziri mkuu na ...
Watafiti wamegundua dawa iliyotumika enzi za Vita Kuu ya pili ya Dunia inaweza kusaidia kuzuia vifo vya magonjwa ya mafua. 
Uvumbuzi uliofanywa na wanasayansi hao, umekuja muda muafaka wakati ni takribani vifo mia tatu kutokana na virusi hivyo vimetangazwa kutokea mwaka huu ikiwa vimeanza mapema isivyotarajiwa katika msimu wa mafua....
Kila mwaka takribani Waustralia mia nne wanahama kikazi, elimu, maisha, familia au kufuata huduma bora za jamii.Kama sheria, kanuni na watoa huduma wanaweza kutofautiana kutoka kote nchini; Orodha ya vitu vinavyohitajika vinaweza kufanya uhamisho...
Mara nyingi watu wenye umri mkuu katika jamii, hukabiliana na changamoto nyingi kupata ajira wanazo taka.
Nakango Visions nishirika lisilo la serikali katika kitongoji cha Fairfield, Magharibi ya Sydney ambacho kinatoa fursa kwa baadhi ya wanachama wa jamii wenye umri wa juu, pamoja na walio wasili nchini Australia kama wakimbizi, fursa yakupata...

Je NAIDOC ni nini?

Nia ya muda mrefu ya watu kutoka jamii zawa Aboriginal na Torres Strait Islanders, kuwa na nafasi muhimu yakufanya maamuzi nchini Australia, ina ongoza maadhimisho ya wiki ya NAIDOC mwaka huu, ambayo yalianza tarehe 7 Julai na yatakamilika tarehe...
Katika makala haya SBS Swahili ita chunguza jinsi maadhimisho ya wiki ya NAIDOC yalivyo anza, na kwa sasa yana husu nini.
Bunge la 46 la Australia lime maliza vikao vyake vya kwanza wiki hii.
Kikao cha kwanza cha bunge kili jumuisha hafla zakitamaduni na sherehe, na hatimae chama cha mseto kili pata ushindi wake wa kwanza kupitia muswada wa makato ya kodi. Hii hapa tathmini ya yaliyo jiri wiki hii katika siasa.
Chama cha Labor kime kiri kimeshindwa kuzuia kupitishwa kwa mpango wa chama cha mseto wa makato ya kodi, nakuapa kufanyia tathmini hatua ya tatu ya mpango huo wenye thamani ya dola bilioni 158 katika uchaguzi mkuu ujao.
Muswada huo umepitishwa ndani ya Seneti na sasa utakuwa sheria.

Taarifa ya Habari

Kuna uwezekano mkubwa wa uvunjaji wa sheria za ajira baada ya waziri Christopher Pyne kutoa wito kwa kamati kuchunguza suala hilo.Waustralia wahaidiwa, huduma bora za kibenki chini ya kanuni mpya.Kiongozi mpya wa chama cha Labor kutoka jimbo la...
Baadhi ya shughuli za kila siku mara nyingi hutufanya tushindwe kupata muda wa kutafuta mpenzi hasa kwa walio na umri mkubwa.Hiyo ni moja ya sababu ya kuwafanya wengi kutumbukia kwenye wimbi la kutafuta wachumba kupitia mtandao lakini zipo sababu...
Uhusiano wa kijinsia ni sehemu ya asili ya kuwepo kwa binadamu.Hata hivyo, kama saikolojia yetu inabadilika kutokana na kuzeeka, tamaa zetu na uwezo wetu pia huathiriwa.Kwa hiyo, tunawezaje kudumisha uhusiano wa kijinsia wakati tunazeeka?

Kujiingiza kwenye ndoa tena

Ni picha ya kawaida ya maisha ya familia ya kisasa wakati sensa ya mwisho inayoonyesha kuwa karibu asilimia tano ya Waaustralia walikuwa wameoa kabla.Ikiwa unajisikia uko tayari au si kujaribu kufunga ndoa tena, kuna matatizo ambayo huja na umri.

Taarifa ya Habari

Kanisa la Australia lakusanya fedha za kampeni za Israeli Folau ambazo zinakaribia dola nusu milioni;Jiji la Sydney latangaza rasmi "dharura ya tabia nchi",Sweden yatinga robo fainali Kombe la Dunia la Wanawake baada ya kuichapa Canada.
Nywele zina maana gani kwa mama au msichana wa Kiafrika? Je kuna ubaguzi wowote wanaofanyiwa akina dada kuhusu nywele zao?Wasichana wawili wabunifu wanaojulikana kama 2 Sydney Stylists wametufahamisha mengi kupitia maonyesho ya picha ya ...

Chama cha Labor chakiri kushindwa

Mapendekezo ya kodi na mchanganyiko wa ujumbe juu ya sekta ya makaa ya mawe yalikuwa sababu kuu za kushindwa kwa Labor katika uchaguzi wa shirikisho wa mwezi uliopita huko Queensland.
Hadi sasa mwaka huu, Waustralia kwa wakati fulani wameshaibiwa dola milioni tano kwa sababu ya wizi wa utambulisho.