Chama hicho kinacho wakilisha wanafunzi nchini, kime sema seriklia ime zindua vita dhidi ya wanafunzi na vijana.
Je kampeni ya wanafunzi yakubadili msimamo wa serikali ita faulu?

Mweka hazina Scott Morrison na Waziri Mkuu Malcolm Turnbull kabla yakutangaza bajeti ya 2017-18 Source: Picha:AAP

SBS World News