Huduma ya moto ya vijijini imetoa onyo kali kuwa, nyumba na maisha yatakuwa hatarini wakati wakazi wana elekeza fikra zao, kwa kuweka sawa mipango yao yakukabiliana na moto wa vichaka.
Wanao kabiliwa kwa hali ya dharura na hawawezi ondoka, wanastahili tambua sehemu salama iliyo karibu yao, ambayo inaweza kuwa sehemu ya jamii kukutania inayo julikana kama sehemu salama yama jirani.