Coming Up Tue 6:00 PM  AEDT
Coming Up Live in 
Live
Swahili radio

JINSI YAKUSIKILIZA

Redio
Sikiza Idhaa ya Kiswahili ya SBS saa kumi na mbili jioni kila Jumanne na saa nne usiku (4) kila Jumapili kupitia SBS Radio 2
Pata mitabendi ya redio katika eneo unako ishi kwakutembelea ukurasa wetu wa tune in. Melbourne - 93.1FM
Kusikiza vipindi vyetu kwenye redio yakidijitali, tafuta ‘SBS Radio’. 

Makala yaliyo rekodiwa
Sikiza idhaa ya Kiswahili katika SpotifyApple Podcasts na Google Podcasts

App ya SBS Radio
Pakua app ya SBS Radio kisikiza Idhaa ya Kiswahili ya SBS mubashara pamoja na makala yaliyo rekodiwa katika sehemu moja.

Runinga
Sikiza Idhaa ya Kiswahili mubashara katika kituo cha runinga cha SBS Radio 2, vituo nambari 38 na 302.
Kwa taarifa ya ziada, tembelea, ukurasara wetu wakusikizia kupitia runinga

Spika janja
Sikiliza Idhaa ya Kiswahili kwenye spika zako janja za Google, Amazon au Apple.


# TITLE RELEASED TIME
SBS Kiswahili 23/01/2022 23/01/2022 1:00:00
SBS Kiswahili 18/01/2022 18/01/2022 1:00:00