'Tishio la kigaidi': Clinton, Obama watumiwa vifurushi vya mabomu, Watangazji wa TV wazikimbia studio

Vifurushi vya mabomu vilitumwa kwa Barack Obama, na kwingine kwa viongozi wa juu wa chama cha Democrats na shirika la habari la CNN katika "jitihada za kutishia ugaidi" siku moja kabla ya kupigia kura uchaguzi wa Marekani.

A Bomb Squad technician in a bomb suit outside CNN’s New York office.

A Bomb Squad technician in a bomb suit outside CNN’s New York office. Source: Robert Deutsch-USA TODAY/Sipa USA

Rais wa Marekani Donald Trump ametoa wito wa umoja baada ya vinavyoshukiwa kuwa vifaa vya kulipuka kupelekwa kwa shirika la habari la CNN na viongozi wakuu wa Democrats, ikiwa ni pamoja na rais wa zamani Barack Obama na Clinton, akisema vitendo vya vurugu za kisiasa "havina nafasi" huko Marekani.

Aliyekuwa mgombea wa Urais kupitia chama cha Democratic Hillary Clinton alikuwa miongoni mwa baadhi ya viongozi wa Democrats waliolengwa sana na Waamerika waligawanyika kabla ya uchaguzi wa Novemba 6 - kuonekana kama mshindi wa kura ya maoni ya Rais wa Republican.
New York Police stand outside the Time Warner Center at Columbus Circle. (AP)
New York Police stand outside the Time Warner Center at Columbus Circle. (AP) Source: FR170574 AP
Ofisi ya CNN huko New York pia imepata kifaa kinachoonekana kama bomu, na kusababisha polisi kuwaondoa watu wote kwenye jengo hilo, na Gavana wa New York Andrew Cuomo, toka Demokrats, alisema ofisi yake pia imepokea vifurushi vya namna hiyo.

CNN inajulikana kwa ustadi wake wa kufuatilia utawala wa uongozi wa Trump na inajulikana mara kwa mara kwa kutolewa maneno makali na Rais, ambaye alimpokea Obama na kumshinda Bi Clinton mwaka 2016.
An NYPD Bomb Squad truck on West 58th St., outside CNN's Manhattan office.
An NYPD Bomb Squad truck on West 58th St., outside CNN's Manhattan office. Source: AP
Emergency services outside the office of Congresswoman Debbie Wasserman Schultz, where a suspicious package was found.
Emergency services outside the office of Congresswoman Debbie Wasserman Schultz, where a suspicious package was found. Source: AP
Kifaa kilichotumwa CNN kinaonekana kuwa "kinacholipuka," Kamishna wa Polisi wa New York James O'Neill alisema.

Mfuko ulio na kifaa kilichotumwa kwa CNN pia kilikuwa na poda yenye kutiliwa mashaka, kulingana na NYPD.
A member of the FBI Weapons of Mass Destruction team works outside the Time Warner Center, in New York. (AP)
A member of the FBI Weapons of Mass Destruction team works outside the Time Warner Center, in New York. (AP) Source: AP
Maafisa usalama  wamesema, uchunguzi wa CNN wa vifaa vyote unawaonyesha kuwa umetengenezwa kama hivyo, na angalau kifaa kimoja kilionekana kuwa na kama vile vipande vidogo vidogo vya vioo.

 Vifaa ni vibaya lakini hufanya kazi, CNN imeripoti

Share

2 min read

Published

Updated

By Reuters - SBS

Presented by Frank Mtao

Source: Reuters, SBS




Share this with family and friends


Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service