Baada ya miongo miwili, waziri mkuu wa zamani Tony Abbott aliyekuwa akiongoza kama mwanasiasa, anaonekana kuwa amekwisha kumalizika muda wake baada ya mgombea wa kujitegemea Zali Steggall kutwaa kiti hicho cha cha jimbo la Warringah.
Bw Abbott alianza kutupiliwa mbali kwa kiasi kikubwa cha kura karibu asilimia 14 mnamo saa 7.42pm (AEST), kulingana na Tume ya Uchaguzi ya Australia.

Zali Steggall has been riding a wave of discontent with Tony Abbott on the issue of climate change. Source: AAP
Habari za Sky na Mtandao wa kituo cha habari cha Nine wametangaza kiti hicho kwenda kwa Bi Steggall kulingana na makadirio.