Takribani watu 120 wafa kwa kimbunga Msumbiji, Zimbabwe

Vifo vilivyotokana na kimbunga Idai nchini Msumbiji na Zimbabwe imefikia 120.

A satellite image of cyclone Idai as it hits Mozambique

Source: AAP

Watu zaidi ya 120 wamekufa na wengi zaidi wamepotea nchini Msumbiji na jirani zao Zimbabwe siku ya Jumapili baada ya kimbunga cha kitropiki Idai kilivyopiga mataifa ya Kusini mwa Afrika ikiambatana na mafuriko ya ghafla na upepo mkali.
Villagers assess the damage.
Villagers assess the damage. Source: Getty
Mamlaka nchini Msumbiji walisema idadi hiyo iliongezeka hadi 62 katikati ya nchi, wakati Zimbabwe ilisema kuwa watu 65 waliuawa katika maeneo ya mashariki yaliyoathiriwa, baada ya dhoruba iliyoathiri ukanda huo siku ya Ijumaa na Jumamosi.

Waziri wa mazingira wa Msumbiji Celso Correia aliwapa shirika la habari la AFP taarifa ya idadi mpya ya vifo nchini humo hasa vilivyotokea katika wilaya za Beira na Dondo, lakini alionya kuwa: "Tutaishia kwa kiwango cha juu."


Share

1 min read

Published

By Frank Mtao

Presented by Frank Mtao

Source: AFP, SBS




Share this with family and friends


Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service