Australia na Indonesia wasaini mkataba huru wa biashara wa kihistoria baada ya miezi kadhaa ya sintofahamu

Australia na Indonesia wametia saini mkataba wa biashara huru, lakini bado inahitajika kupitishwa na bunge la shirikisho.

Australian PM Scott Morrison said the free trade deal elevates the bilateral relationship.

Source: AAP

Mpango wa biashara kati ya Indonesia na Australia umetamkwa kama kutuma ishara ya wakati kwa ulimwengu kutambua kuhusu umuhimu wa biashara huria.

Wakati mawaziri wa biashara ya Indonesian na Australia wakitia saini makubaliano mjini Jakarta leo Jumatatu, kiongozi wa upinzani chama cha Labor Bill Shorten alihaidi kupitia maelezo ya makataba huo ili chama chake kipime kama kingeweza kuunga mkono bungeni.

Kiongozi wa upinzani anasema, Chama cha Labor "kilitengwa kabisa" kuelekea makubaliano hayo ya biashara, ambayo yanapaswa kuidhinishwa na bunge baada ya kupiga kura rasmi na uchunguzi wa kamati ya mikataba.

Nchi zote mbili ziko katika uchumi wa juu wa dunia wa nchi 20 lakini sio washirika wa juu wa biashara katika nafasi za 10.

Huu ni mkataba wa kwanza wa Indonesia wa aina yake na itawezesha vyuo vikuu vya Australia vinavyomilikiwa kufanya kazi nchini humo.

Chakula kilichohifadhiwa nchini Australia, ng'ombe, mbegu za malisho, maziwa, machungwa na chuma pia vitapata unafuu kutokana na mkataba huo.

 


Share

1 min read

Published

By Frank Mtao

Presented by Frank Mtao




Share this with family and friends


Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service