Mwalimu Gabrielle Maina auawa mjini Nairobi,Kenya

Mwalimu mmoja mwenye asili ya Australia, ame uawa kwa risasi katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi.

Imeripotiwa Gabrielle Maina aliuawa mjini Nairobi kwa risasi

Imeripotiwa Gabrielle Maina aliuawa mjini Nairobi kwa risasi Source: Facebook: Gabrielle Maina

Kufikia sasa sababu yaku uawa kwa Bi Gabrielle haija bainika.

Bi Maina ana watoto wawili wakiume na alikuwa aki ishi nchini Kenya kuanzia Septemba 2015, ukurasa wake wa Facebook ume sema ni mzawa wa Armidale, NSW.

Balozi wa Kenya nchini Australia Mh. Isaiya Kabiira ametoa risala za rambi rambi kwa jamaa ya Bi Gabrielle. Balozi Kabiira amesisitiza kuwa serikali ya Kenya itafanya kila iwezalo kuwachukulia hatua zakisheria wahusika wa tukio hilo. Balozi Kabiira alitoa shukrani pia kwa mchango wa Bi Gabrielle katika elimu ya vijana wa Kenya.

"Our heartfelt condolences to the family of Ms Gabrielle Maina, an Australian National and Head Teacher at Nairobi’s Hillcrest School. The Government of Kenya will extend all support needed during this difficult time. Investigations are on to ensure that the culprits of the killing that happened in Karen are brought to book. We salute Ms Gabrielle Maina for her sterling role in molding the lives of many Kenyan youth who went through her very capable hands since she joined Hillcrest School in 2015. May her soul rest in eternal peace and our prayers and thoughts are with the family. Isaiya Kabira, High Commissioner of Kenya"

Waziri Mkuu Malcolm Turnbull amesema maombi na mawazo yake, yako kwa familia na marafiki wa Bi Gabrielle Maina.


Share

1 min read

Published

Updated

By Riley Morgan

Presented by SBS Swahili

Source: SBS World News Australia



Share this with family and friends


Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service