Nay wa Mitego mwenyewe alithibitisha ripoti hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram aliko andika:Tangazo la Ney wa Mitego kwenye Instagram Source: Ney wa Mitego
Jeshi la polisi halija fafanua sababu zaku kamatwa kwa Nay wa Mitego, isipokuwa kwamba msanii huyo ame pelekwa Dar es Salaam ambako amri laku kamatwa kwake lilitoka.
Licha ya uhaba wa maelezo kuhusu sababu zaku kamatwa kwa Nay wa Mitego, vyombo vingi vya habari vime dokeza kukamatwa kwake kuna husiana na wimbo wake mpya, "wapo". Wimbo huo unakosoa hatua ya serikali kukandamiza uhuru wakuongea nchini, ufisadi, vyombo vya habari vinavyo pindisha taarifa kwaku iogopa serikali pamoja na maswala mengine yaki jamii.