Burundi yaweka historia kwa kuingia kwa mara ya kwanza Kombe la Mataifa Afrika

Burundi wamefuzu kuingia fainali kwa mara ya kwanza Kombe la Mataifa ya Afrika huku wakimuacha mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang na mshangao wakati wakijipatia pointi katika mechi ya sare 1-1 huko Bujumbura.

Burundi ya fuzu kwa kombe la Afrika

Wachezaji wa timu ya taifa ya Burundi, washerehekea kufuzu kwa kombe la Afrika Source: kickoff.com

Matokeo hayo yaliwawezesha kupata nafasi ya pili katika kundi C ikijiunga na Madagascar na Mauritania kama nchi zinazofikia fainali kwa mara ya kwanza, na mafanikio yao yalileta sherehe kubwa katika nchi ya mashariki mwa Afrika.

Walifuatiwa baadaye Jumamosi na Cameroon, Guinea Bissau na Namibia, ambao walistahili licha ya kupoteza kwa bao 4-1 kwa Zambia katika mchezo ulijawa utata mkubwa.

Wakati Burundi ilihitaji tu sare, wageni Gabon - ambao walikuwa wenyeji kwa mwaka 2017 - walipaswa kushinda ili kujiunga na Mali katika fainali za timu zilizoongezwa 24 nchini Misri.

More: https://theworldgame.sbs.com.au/burundi-make-history-with-first-cup-of-nations-qualification


Share

Published

Updated

By Frank Mtao
Presented by Frank Mtao
Source: AAP

Share this with family and friends


Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service