Taarifa mpya kuhusu COVID-19: Idadi ya kesi jimboni NSW zaendelea "kuwa nyingi" wakati 50% yawatu wazima wapokea dozi yao ya kwanza

Hii ni taarifa mpya kwako, kuhusu Coronavirus nchini Australia kwa tarehe 15 Agosti 2021.

Sydney Olympic Park Vaccination Centre

People waiting to be vaccinated at the Sydney Olympic Park Vaccination Centre at Homebush in Sydney, Sunday, August 15, 2021. Source: AAP Image/David Gray

  • Watu milioni tano wamepokea dozi yao ya kwanza NSW
  • Miada ya ziada ya chanjo, ipo Victoria
  • Kesi mbili mpya zapatikana ndani ya jamii ACT, na sufuri kwa QLD
  • Dozi milioni moja za ziada za Pfizer, zatarajiwa kuwasili nchini Australia leo usiku.

New South Wales

NSW imerekodi kesi mpya 415 ndani ya jamii na vifo vinne. Kesi 35 zilikuwa ndani ya jamii wakati zilikuwa katika hali ambukizi.

Baadhi ya vitongoji ambavyo vina idadi nyingi ya kesi ni: Blacktown, Mount Druitt, Merion, Maryland, Auburn na Guildford.

Kiongzo wa jimbo hilo, Gladys Berejiklian amesema serikali inatafuta "fursa" kwa watu ambao wame chanjwa, wapate uhuru kuanzia September, jimbo hilo likiwa limerekodi idadi ya 50% ya watu wazima katika umma ambao wame pokea sehemu ya chanjo.

Pata hapa orodha ya zahanati za chanjo.

Victoria

Victoria imerekodi kesi mpya 25 ndani ya jamii, kesi 4 miongoni mwa hizo hazija unga kwa milipuko inayo julikana. Kesi 13 zilikuwa ndani ya jamii wakati zilikuwa katika hali ambukizi.

Kiongozi wa jimbo hilo Daniel Andrews, amesema miadi elfu 84,000 itatolewa leo kwenye tovuti ya serikali. 

Pata hapa orodha ya vituo vya chanjo.

Hali ilivyo kuwa nchini Australia katika masaa 24 yaliyo pita
  • Queensland haija rekodi kesi yoyote ndani ya jamii na, imetuma polisi wa ziada katika mpaka wake na NSW.
  • ACT imerekodi kesi mbili mpya ndani ya jamii, moja yazo chanzo chake ikiwa haijulikani.
  • Serikali ya madola imepata dozi milioni moja za chanjo ya COVID-19 ya Pfizer, hiyo ikiwa ni kwa nyongeza ya chanjo milioni 40 ambazo Australia ilikuwa inatarajia kupokea tayari.

Karantini, safari, zahanati za vipimo na malipo ya janga

Karantini na masharti ya vipimo husimamiwa nakutekelezwa na serikali za majimbo na mikoa:

NSW Safari & usafiri na Karantini

VIC Kibali cha kusafiriwasafiri wa ng'ambo na Karantini

ACT Safari and Karantini

NT Safari and Karantini

QLD Safari and Karantini

SA Safari and Karantini

TAS Safari and Karantini

WA Safari and Karantini

Kama unataka safiri ng'ambo, unaweza omba kibali mtandaoni. Bonyeza hapa kwa taarifa ya ziada kuhusu masharti yakuondoka Australia. Kuna hatua zamuda kwa safari zakimataifa ambazo hutathminiwa na serikali nakuchapishwa kwenye tovuti ya Smart Traveller.



Tazama rasilmali zilizo tafsiriwa na huduma yamawasiliano ya Afya ya tamaduni mbali mbali ya NSW:

COVID-19 Vaccination Glossary
Appointment Reminder Tool.


Pata hapa taarifa kuhusu zahanati za chanjo, katika kila jimbo na wilaya:

NSW 

Victoria 

Queensland 

South Australia 

ACT 

Western Australia 

Tasmania

Northern Territory 


Pata hapa taarifa kuhusu malipo ya janga, katika kila jimbo na wilaya:

NSW 

Victoria 

Queensland 

South Australia 

ACT 

Western Australia 

Tasmania
Northern Territory


Share

3 min read

Published

Updated

By SBS/ALC Content

Presented by Gode Migerano

Source: SBS




Share this with family and friends


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now