Taarifa mpya kuhusu COVID-19: NSW kufunguliwa mapema na watu ambao hawaja chanjwa kuwekewa vizuizi kwa muda mrefu zaidi

Hii ni taarifa mpya kuhusu Coronavirus nchini Australia kwa 2 Novemba 2021.

Mashabiki wajumuika wakati wa mchuano wa Melbourne Cup, katika uwanja wa mashindano ya farasi wa Flemington Racecourse, Melbourne.

Mashabiki wajumuika wakati wa mchuano wa Melbourne Cup, katika uwanja wa mashindano ya farasi wa Flemington Racecourse, Melbourne. Source: AAP

Sheria zakufunguliwa

  • NSW yasogeza mbele sheria zakutoa ruhusa kwa watu ambao wamepata chanjo kamili, kuanzia 1 Disemba nakurudishwa nyuma hadi 8 Novemba.
  • NSW yaondoka masharti ya idadi ya watu wanao weza jumuika katika sehemu zotel, isipokuwa ndani ya vyumba vya mazoezi na katika madarasa ya densi. Uvaaji wa barakoa bado ni lazima katika sehemu za ndani kadi 15 December.
  • Sheria kwa watu ambao hawaja chanjwa, jimboni NSW zitaregezwa 15 Disemba.
  • Idara ya Afya ya Victoria imetoa taarifa ya ushauri, kwa jinsi ya watu binafsi kujifanyia vipimo wenyewe
  • Kuanzia 23 Novemba, Kusini Australia itaondoa vizuizi vya mipakani, pamoja nakupunguza muda wa karantani hadi siku saba kwa wasafiri wakimataifa ambao wame pata chanjo kamili.

Utoaji wa chanjo

Takwimu za UVIKO-19

  • Victoria yarekodi kesi mpya 989 ndani ya jamii pamoja na vifo tisa.
  • NSW yarekodi kesi mpya 173 ndani ya jamii pamoja na vifo vinne.
  • ACT yarekodi kesi mpya 8 ndani ya jamii.


Karantini, safari, zahanati za vipimo na malipo ya janga

Karantini na masharti yavipimo husimamiwa nakutekelezwa na serikali zamajimbo na wilaya:

NSW Safari & usafiri na Karantini

VIC Vibali vya safariWasafiri wa ng'ambo na Karantini

ACT Usafiri na Karantini

NT Safari na Karantini

QLD Safari na Karantini

SA Safari na Karantini

TAS Safari na Karantini

WA Safari na Karantini

Kama unataka safiri ng'ambo, unaweza omba kibali mtandaoni. Bonyeza hapa kwa taarifa zaidi kuhusu masharti yakuondoka Australia. Kuna hatua za mpito kwa safari zakimataifa ambazo hutathminiwa mara kwa mara na serikali, nakuchapishwa kwenye tovuti ya Smart Traveller.



Tazama rasilmali zilizo tafsiriwa za huduma yamawasiliano ya shirika la afya ya tamaduni nyingi ya NSW:

COVID-19 Vaccination Glossary
Appointment Reminder Tool.


Zahanati za vipimo katika kila jimbo na wilaya:

NSW 

Victoria 

Queensland 

South Australia 

ACT 

Western Australia 

Tasmania

Northern Territory 


Taarifa kuhusu malipo ya janga katika kila jimbo la wilaya:

NSW 

Victoria 

Queensland 

South Australia 

ACT 

Western Australia 

Tasmania
Northern Territory


Share

2 min read

Published

By SBS/ALC Content

Presented by Gode Migerano

Source: SBS




Share this with family and friends


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Watch now