Watu 58 wauawa, huku maelfu wakiwa wamejeruhwa katika vurugu huko Gaza wakati Marekani ikifungua ubalozi wake

Majeshi ya Israeli yamewaua Wapelistina katika mpaka wa Gaza kwenye vurugu siku ya Jumatatu pale waandamanaji walipokusanyika kupinga kufunguliwa Ubalozi wa Marekani mjini Jerusalem.

Palestinians protesters try to help a wounded protester during clashes after protests near the border with Israel in the east of Gaza Strip, 14 May 2018

According to media reports, at least 5 Palestinians were killed and more than 1800 wounded during clashes in Gaza-Israeli border. Source: EPA/MOHAMMED SABER

Majeshi ya Israeli yamewaua wandamanaji wa Kipalestina katika mpaka wa Gaza siku ya Jumatatu huku uongozi wa Rais ukifungua rasmi Ubalozi wa Marekani mjini Jerusalem ndipo vurugu zilipopamba moto na hii ni baada ya maandamano ya wiki kadhaa.
Israeli troops fire tear-gas at Palestinian protesters during clashes after protests near the border with Israel
5 Palestinians protesters were killed and more than 2000 others were injured during the clashes along the border between Israel and Gaza Strip. Source: EPA/HAITHAM IMAD
Ikiwa ni siku ya kumwagika damu nyingi kutokea kwa Wapelsestina tangu mwaka 2014, Maafisa wa Wizara ya afya wa Palestina wamesema, wanadamanaji wapatao 58 wameua na takribani zaidi ya 2,700 kujerehuiwa kwa risasi, mabomu ya machozi na vifaa vingine.

Nchi za Ufaransa na Uingereza wamelaani tukio hilo huku taifa linguine lenye nguvu la Uturuki likiita tukio hilo kama tukio kubwa la kinyama la mauaji.

 Ikulu ya Marekani imekanusha kujiunga kuisisitiza Israel kuchukua tahadhari huku wakitoa lawama kwa kundi la Hamasi, wakiwa wanamuunga mkono Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ambaye alilelezea tukio la jeshi la Israeli kama ni tukio la kujihami kwa nchi yake na mipaka.

Fuatilia habari leo radioni, kujua kiundani yaliyojiri huko na Ulimwenguni kwa ujumla pale mtayarishaji wetu Frank Mtao atakapokuletea taarifa za ulimwengu na makala maalumu.


Share

1 min read

Published

Updated

Presented by Frank Mtao



Share this with family and friends


Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service