Argentina ili ingia katika fainali ya kombe la dunia nchini Qatar dhidi ya Ufaransa, baada yakupoteza mechi moja dhidi ya Saudi Arabia.
Hadi dakika ya 79 mashabiki wa Argentina walikuwa wame anza sherehe za ushindi ila, katika dakika ya 80 nyota wa Ufaransa Kylian Mbappe alifunga goli la kwanza nalapili dakika moja baadae kusawazisha mechi hiyo.
Katika muda wa ziada Messi alifunga goli lake la pili nala tatu kuikaribisha Argentina karibu ya kombe la dunia, ila katika dakika 118, Mbappe alifunga goli lake la tatu nakulazimisha penati kuamua mechi hiyo.
Hata hivyo, baada ya Ufaransa kufeli kufunga penati mbili, Argentina ilifunga penati zao 4 nakumaliza ukame wazaidi ya miaka 30 bila kushinda kombe la dunia.