Australia ili anza kombe la dunia la FIFA kwa ushindi dhidi ya Ireland ila waka kutana na kimbunga dhidi yawa Nijeria ambao walikuwa na ajenda yao wenyewe yakufuzu kutoka kundi B.
Mechi hiyo ili isha kwa ushindi wamagoli 3 kwa 2 kwa upande wa Nigeria, hali ambayo ina maana kwamba katika meza ya kundi B, Nijeria wana ongoza kwa alama 4 baada yakutoka sare dhidi ya Canada ambao pia wana alama 4 lakini wana magoli machache kuliko Nijeria. Australia ina alama 3 wakati Ireland ni wamwisho bila alama yoyote.
Hali hiyo ina maana kwamba katika mechi za mwisho za kundi hilo zitakazo chezwa wakati mmoja mida ya saa mbili usiku wa Jumatatu 31 Julai 2021, Australia inajua iwapo ita shinda dhidi ya Canada basi wata fuzu kutoka nje ya kundi B, kwa upande wayo, Nijeria ina hitaji tu sare ya aina yoyote au hata ushindi kuji hakikishia nafasi ya kwanza katika kundi hilo na hapo inaweza epuka mechi dhidi ya timu ngumu katika hatua itakayo fuata.
Endelea kufuatilia matokeo ya kombe la dunia la FIFA katika mchezo wa mpira wa miguu wa wanawake kupitia tovuti hii.