
This article is more than 3 years old
Latest
Mabilioni washuhudia safari ya mwisho ya Malkia Elizabeth II
Viongozi wa dunia wamejumuika mjini London katika ibada maalum, yakumuaga hayati Malkia Elizabeth II wa Uingereza na Jumuiya zamadola.
Waziri Mkuu wa Australia Anthony Albanese, alijiunga na viongozi wenza katika ibada iliyo ongozwa na viongozi wakanisa laki Anglikan.

Baada ya ibada hiyo, jeneza la hayati Malkia Elizabeth II lilivutwa na wanajeshi katika mitaa ya London likielekea katika makazi yake yakudumu kando ya hayati mumewe Prince Philip, ndani ya kanisa la Mtakatifu George, ambalo ni sehemu ya kasri ya Windsor.

Malkia Elizabeth II aliaga dunia, akiwa ametawala Uingereza na Jumuiya zamadola kwa miaka 70.
Share
