Mahakama hiyo imeamuru kuwa, waziri mkuu Boris Johnson, alichukua hatua isiyo halali kumpa ushauri wakufunga bunge Malkia Elizabeth, wiki chache kabla ya Uingereza kujiondoa katika muungano wa ulaya maarufu kama 'Brexit', kwa hiyo hatua yake yakufunga bunge ilikuwa batili raisi wa mahakama kuu alisema katika hukumu yake. Image
Bunge ya Uingereza itaanza vikao tena katika masaa 24 yajayo, wakati wito wa Bw Johnson kujiuzulu unaendelea kuongezeka.
Share

