Pelé ambaye jina lake kamili lilikuwa ni Edson Arantes do Nascimento, alikuwa akipokea matibabu ya saratani nchini Brazil na imeripotiwa kuwa aliaga dunia akiwa amezungukwa na familia yake.
Pelé ndiye mchezaji pekee duniani, kuwahi kushinda kombe la dunia akiwa na umri mdogo wa miaka 17. Alishinda kome la dunia mara tatu, miongoni mwa taji zingine alizoshinda katika soka.
Picture shows a statue of Brazilian football legend Pele in Doha on December 6, 2022, during the Qatar 2022 World Cup football tournament.
Licha ya vilabu vingi kuhitaji huduma zake barani ulaya, serikali ya Brazil ilimpiga marufuku Pelé kucheza nje ya nchi hiyo. Pelé ame aga dunia akiwa na miaka 82.