Lucy Zelic ata shirikiana na Craig Foster kuchambua mechi zote wikendi hii, kutoka ligi yenye mvutio kuliko zingine duniani.
Jumamosi 26 Agosti 2017 vijana wapya katika ligi Huddersfield, wata kichapa na Southampton kuanzia saa tano unusu usiku masaa ya mashariki Australia. Unaweza tazama mechi hiyo kupitia runinga ya SBS na SBS HD.
Kwa taarifa mpya na makala yaliyo rekodiwa bofya hapa chini:
www.theworldgame.sbs.com.au
Share

