Mkimbiaji mkongwe mbio ndefu aliyestaafu, yeye alifikiria kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kipekee pale alipoamua kukimbia mbio ndefu za umri yaani alisherehekea kwa kufanya riadha.
Usikose kusikiliza kwa undani Jumapili hii tarehe 10/01/15 ambapo Frank Mtao atakuletea yaliyojiri zaidi.
Share

