
This article is more than 2 years old
Breaking
Ruto "tuta tumia rasilimali zote kuhakikisha matukio ya leo haya jirudii"
Badala ya utulivu na maandamano ya amani yaliyo shuhudiwa wiki iliyopita, vurugu na milio ya risasi vilitawala mitaa ya miji kadhaa ya Kenya.

Kufikia sasa taarifa tulizo pokea ni kwamba watu 10 wamefariki na mamia kujeruhiwa.

Alipo hotubia taifa usiku wakuamkia leo, Rais Ruto ali laani matukio yaliyo shuhudiwa naku ahidi kuwa serikali "itatumia rasilimali zote inazo kudumisha usalama naku hakikisha matukio yaliyo sababisha bunge la taifa kuvamiwa na sehemu yake kuchomwa moto haya rudiwi.
Tuta kuletea taarifa zaidi punde tutakapo zipokea.
