Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

SBS Swahili yapokea tuzo kwa huduma katika jamii

Mwaka wa 2016 unapo karibia tamati yake, msimu wa tuzo nao umeongeza kasi nchini Australia.

Mhariri wa SBS Swahili Gode Migerano na Mratibu wa Celebration of African Australian Awards NSW Ronnie Kakaire JP
Mhariri wa SBS Swahili Gode Migerano apokea tuzo kutoka kwa Mratibu wa Celebrate African Australians NSW, Ronnie Kakaire JP Source: SBS Swahili

SBS Swahili ilihudhuria sherehe iliyo andaliwa na shirika la Celebrate African Australians NSW ndani ya ukumbi wa Canada Bay Club, katika kitongoji cha Five Dock, NSW.

Shirika hilo hupokea pendekezo kutoka wanachama wa jumuiya zawana Afrika wanao ishi Australia, kwa ajili yakuwatambua watu ndani ya jamii wanao toa mchango chanya katika jami.

SBS Swahili ilipendekezwa kupokea tuzo mwaka huu kwa huduma inayo toa katika jamii, tunawashukuru wote walio tupendekeza kupokea tuzo hii kwa huduma tunayo toa katika jamii kupitia vyombo vya habari.
celebration_of_africa_awards_nsw16-4.jpg
Mhariri wa SBS Swahili Gode Migerano baada yakupokea tuzo kwa niaba ya SBS Swahili katika sherehe iliyo andaliwa na shirika la Celebrate African Australians NSW

Shukran tena kwa kila mtu aliye tupendekeza kupokea tuzi hii, na asante pia kwa wasikilizaji wetu wote kwakuendelea kutu unga mkono. Tuna tumai tuta endelea kushirikiana pia katika mwaka wa 2017.


1 min read

Published

Updated

By SBS Swahili

Presented by Gode Migerano

Source: SBS Swahili




Share this with family and friends


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now