Malkia wa Tennis awaaga mashabiki kwa machozi ya furaha
Serena Jameka Williams ametawala mchezo wa Tennis kwa zaidi ya miaka 30, ila hakuna kilicho na mwanzo ambacho hakina mwisho.
1 min read
Published
Updated
By Gode Migerano
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to article contentShare this with family and friends
Serena Williams ame aga mchezo wa Tennis akiwa ameshinda taji 23, pamoja nakutoa hamasa kwa mamilioni ya wasichana weusi wazingatie kucheza Tennis.
Bi Williams alichukua mapumziko kutoka mechezo wa Tennis kwa muda, kuanza familia pamoja na mumewe.
Serena Williams ambeba bintiye Alexis Olympia Ohanian Jr. pamoja na kombe la Tennis aliloshinda. Credit: Chris Symes/AP/AAP ImageNyota maarufu duniani wametuma salamu zao kwa Bi Williams, ambaye alistaafu rasmi baada yakupoteza mechi yake dhidi ya Ajla Tomljanovic wa Australia.
Serema Williams amestaafu akiwa mshindi wa muda wote wa grandslams kwa umri wa miaka 40.