Latest

Taarifa mpya ya UVIKO-19: Baraza lamawaziri lataifa lajadili muda mfupi wakujitenga baada ya Australia kupita kesi milioni 10

Hii ni taarifa yako mpya ya UVIKO-19 nchini Australia kwa 31 Agosti.

QLD COVID19 HOSPITALS TENTS

A COVID-19 testing centre at the Gold Coast University hospital in Southport. Source: AAP / JONO SEARLE/AAPIMAGE

Key Points
  • Victoria to set up a new pandemic preparedness centre
  • Australia to provide $31.5 million for finding new ways to treat COVID-19
  • A new study shows Paxlovid lowers hospitalisation and death risks in older people
Jumatano, Australia iliripoti vifo 65 vya UVIKO-19, 26 vikiwa Victoria, 22 New South Wales na 10 Queensland.

Tazama maendeleo mapya ya UVIKO-19 kwa kesi mpya, idadi ya wanao lazwa hospitalini na vifo nchini Australia here.
Mkutano wa baraza la mawaziri wataifa unaendelea kuamua kama muda wakujitenga kwa kesi chanya za UVIKO-19 unaweza punguzwa kutoka siku saba hadi siku tano.

Chama cha wafanyakazi wa huduma za afya, kina amini muda wakujitenga unstahili futwa kabisa.

Victoria itatoa uwekezaji wa $75 milioni kwa chuo cha Melbourne kwa kuanzisha kitengo kituo kipya cha maandalizi ya janga.

Mfadhili na mfanyabiashara kutoka Canada, Geoffrey Cumming ata toa $250 milioni kwa kituo hicho. Huo ni mchango mkubwa zaidi wa ufadhili ambao umewahi tolewa kwa utafiti wamatibabu nchini Australia.

Australia itatoa $31.5 milioni kwa watafiti kupata mbinu mpya zakutibu UVIKO-19 nakuelewa madhara yake ya muda mrefu.

Australia imevuka idadi ya kesi milioni 10 za UVIKO-19. Kuanzia saa tisa mchana ya 30 Agosti 2022, maambukizi 10,018,025 ya UVIKO-19 pamoja na idadi ya vifo 13,834, vimeripotiwa nchini.

Umri wakati wa kesi zote na vifo ni miaka 31 na miaka 83.

Utafiti mpya kutoka Israel uliochapishwa katika jarida la matibabu la New England, umeonesha kuwa kidonge cha Paxlovid hupunguza hatari yakulazwa hospitalini kwa 73% na vifo kwa 79% katika watu wenye miaka 65 na zaidi.

Pata zahanati ya UVIKO

Pata zahanati ya vipimo vya UVIKO-19

Sajili matokeo yako ya kipimo cha RAT hapa, kama matokeo yakipimo ni chanya

Soma kuhusu taarifa ya UVIKO-19 katika lugha yako kwenye tovuti ya SBS inayo husu Coronavirus

Share

Published

Presented by Gode Migerano
Source: SBS

Share this with family and friends


Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service
Taarifa mpya ya UVIKO-19: Baraza lamawaziri lataifa lajadili muda mfupi wakujitenga baada ya Australia kupita kesi milioni 10 | SBS Swahili