Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Tanzania yakaribishwa katika kombe la Afrika kwa kichapo

Tanzania ndiye nchi pekee kutoka Afrika Mashariki inayo shiriki katika michuano ya Kombe la Afrika nchini Ivory Coast.

Wachezaji 11 wa Taifa Stars walio anza mechi dhidi ya Morocco katika kombe la Afrika nchini Ivory Coast

Tanzania ili orodheshwa katika Kundi F pamoja na Morocco, Zambia na DR Congo.

Morocco yaifanyia Tanzania unyama katika kombe la Afrika

Katika mechi ya kwanza ya kundi hilo Morocco ilionesha ubabe wake kwa kuicharaza Taifa Stars magoli 3 bila jibu.

Charles M'Mombwa (katikati) katika mechi dhidi ya Morocco.jpg

Licha ya kichapo hicho, mamia yama shabiki wa Taifa Stars wanao ishi Australia, wali amkia mechi hiyo mapema kumshabikia Charles Kokola M'Mombwa aliye dhihirisha kuwa anastahili kiwango chakucheza dhidi ya wachezaji wa Morocco wenye majina tajika katika soka yakimataifa.

Kupitia matokeo hayo hasi, sasa Tanzania lazima ioneshe viwango vya juu zaidi iwapo ina matumaini yaku fuzu kutoka kundi hilo.


1 min read

Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now