SKIP TO MAIN CONTENT

Trump na mkewe wapatwa na COVID-19

Siku mbili baada ya mdahalo wakwanza wa kampeni ya urais, Rais wa Marekani amethibitisha kuwa yeye pamoja na mkewe, wamepatwa na Coronavirus.

Donald Trump na mkewe Melania Trump
Rais wa Marekani Donald Trump na mkewe Melania Trump, wathibitishwa kupata Coronavirus Source: AAP

1 min read

Published

Updated

By Gode Migerano

Presented by Gode Migerano

Source: SBS Swahili


Skip to article content

Bw Trump alithibitisha taarifa hizo kupitia mtandao wa Twitter, taarifa hizo zikijiri masaa machache baada ya taarifa kusambaa, kuwa msaidizi wake wa karibu Hope Hicks ame patwa na Coronavirus.

Bw Trump ame andika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa, "yeye pamoja na mkewe watasalia katika karantini ndani ya ikulu", ambako ataendelea kuongoza serikali.

Tutawapasha taarifa za ziada, punde tutakapo zipokea.


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now