Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Uingereza yajiondoa kwenye EU, David Cameron ajiuzulu

Asilimia kubwa ya raia wa Uingereza wamepiga kura ya maoni wakiitaka ijiondoe kwenye muungano wa bara Ulaya EU.

Kituo cha kupiga kura mjini Manchester, Uingereza
Kituo cha kupiga kura mjini Manchester, Uingereza Source: AAP
Asilimia 52% ya raia wa Uingereza wamepiga kura yakusitisha uanachama wa Uingereza ndani ya EU uliodumu miaka 43.

Image

Watu wanaoishi katika mji London na Scotland ndio waliopiga kura kwa wingi kusalia ndani ya muungano huo, hata hivyo

Sarafu ya Euro imepanda katika masoko ya fedha huku Paundi ya Uingereza ikiendelea kuporomoka na sasa faranga ya Ufaransa ina thamani kuliko paundi ya Uingereza.
Thamani ya Paundi ya poromoka katika Soko la hisa la Uingereza
Thamani ya Paundi ya poromoka katika Soko la hisa la Uingereza Source: AAP

Punde baada ya matokeo kamili kutangazwa, Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron aliyekuwa akiongoza kampeni ya kura yakusalia ndani ya muungano wa EU, alishukuru taifa kwaku shiriki katika kura hiyo pamoja nakutangaza kwamba ana jiuzulu.

David Cameron akijiuzulu punde baada ya matokeo ya BREXIT kutangazwa
David Cameron akijiuzulu punde baada ya matokeo ya BREXIT kutangazwa Source: Getty Images


1 min read

Published



Share this with family and friends


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now