Wakati makamishna hao walikuwa waki hotubia waandishi wa habari, ndani ya ukumbi wa Bomas baadhi ya viongozi wa mrengo wa Azimio One Kenya walivamia sehemu ambako sehemu ambako mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Bw Chebukati alikuwa ameketi pamoja na viongozi wengine nakuzua rabsha.
Vyombo vya ulinzi vilimuondoa haraka Bw Chebukati katika sehemu hiyo nakuanza kuwatawanya walio vamia eneo hilo. SBS Swahili itakupa taarifa zaidi kuhusu tukio hili punde tutakapo zipata.