Licha ya uchaguzi mkuu wa Kenya kusubiriwa kwa hamu na wengi, ni idadi ndogo tu ya wapiga kura walio sajiliwa ndiwo walio shiriki katika zoezi hilo.

Afisa wa tume ya uchaguzi IEBC, akimhudumia mpiga kura.
Hata hivyo tume huru ya uchaguzi ya Kenya (IEBC), inawajibu waku hesabu kura zilizo pigwa na kumtangaza mshindi.
SBS Swahili itachapisha matokeo ya uchaguzi huo punde tutakapo yapokea.