Wabunge namaseneta walikuwa katika kikao cha pamoja ndani ya bunge mjini Washington DC, wakati waandamanaji ambao kabla walikuwa wamehudhuria hotuba ya Rais Trump, kuondoa vizuizi vilivyo wekwa na polisi, kuvunja madirisha nakuvamia bunge la taifa.

A protester holds a Trump flag inside the US Capitol Building near the Senate Chamber. Source: Getty Images
Imeripotiwa kuwa watu 4 wamefariki kupitia maandamano hayo, mwanamke mmoja kati yao akifa kupitia majeraha aliyo pata baada yakufyatuliwa risasi na vyombo vya usalama.