Imeripotiwa wawili hao walifariki baada ya gari walimokuwa wakisafiria kuhusika katika ajali. Abiria watatu wakike aliyekuwa ndani ya gari hilo, alipata majeraha machache nakuhudumiwa hospitalini.
The crashed car that Marathon world record-holder Kelvin Kiptum was driving sits in front of the Police Station in Kaptagat, Kenya, 12 February 2024. Source: EPA / STR/EPA/AAP Image
Viongozi mbali mbali kote duniani wame tuma salamu zao kwa familia zawendazao. Wakati huo huo babake Kelvin pamoja na baadhi ya wanasiasa nchini Kenya, wameomba uchunguzi ufanywe kuhusu ajali hiyo.Maombi hayo yame jibiwa kwa wanaume wanne walio tembelea familia ya marehemu Kelvin siku chache kabla ya kifo chake na kukataa kujitambulisha, wame kamatwa na wanaendelea kuhojiwa kulingana na kamanda wa jeshi la polisi la Keiyo Bw Abdullahi Dahir.
Wanne hao wanatoka Kaunti ya Uasin Gishu.
Tuta wapa taarifa zaidi punde tutakapo zipokea.