Mugabe alikuwa na umri wa miaka 95.
Alifariki baada yaku kabiliana na magonjwa, familia yake imethibitishia chombo cha habari cha B-B-C.
Kiongozi huyo wa muda mrefu aliondolewa madarakani, kupitia mapinduzi yakijeshi katika mwaka wa 2017. Je Robert Mugabe, atakumbukwaje?
Share

