Mwaka wa 2018 lugha yetu (Kirundi) ita pata nafasi katika uwanja wakimataifa

Sydney new year firework Source: Getty Images
Wanachama wa jamii ya warundi wanao ishi NSW walizungumza na SBS Swahili walipo karibisha mwaka mpya wa 2018. Walitueleza kuhusu wanavyo tazamia kusikiza taarifa na makala mengine katika lugha yao yakirundi kupitia Radio SBS.
Share
