Waumini waombea ulinzi na baraka katika mwaka wa 2019

maadhimisho ya mwaka wa 2019 katika bandari ya Sydney, Australia Source: Brett Hemmings\City of Sydney/Getty Images
SBS Swahili ilijumuika na waumini katika ibada yakufunga mwaka wa 2018, katika kitongoji cha Auburn, NSW. Haya ndiyo waliyo tueleza usiku wa manane ulipofika.
Share




