Kongamano la G7 la shuhudia mishangao michache, na makubaliano kidogo

Waziri Mkuu Scott Morrison katika mkutano wa G7, mjini Biarritz, France Source: AAP
Scott Morrison amekuwa katika shughuli katika mkutano wa G7 nchini Ufaransa, baada yaku alikwa katika mkutano huo kama mtazamaji.
Share