Mhandisi Heri Issa Gombera ambaye ni Kaimu Meneja wa Kitengo cha Utambuzi wa Miamba, Madini na Uchenjuaji Madini toka Taasisi ya Jiolojia na utafiti madini Tanzania (GST), anafafanua zaidi juu ya kile kinachohitajika ili kuingia kwenye uchimbaji madini.
Maoni ya Kijiolojia kuhusu jinsi ya kuingia kwenye madini

Mhandisi Heri Issa Gombera amevaa koti la rangi ya bluu akiwa na timu yake kwenye maeneo ya madini Dodoma. Source: Heri image(facebook)
Kuanzisha biashara ya madini inaweza kuwa "mkanganyiko" hasa kwa uchimbaji wa migodi. Kuna mengi ya kuzingatia kabla ya kushiriki katika biashara hii vinginevyo utapoteza pesa nyingi.
Share




