Wakati huo huo vikundi vya wanaharakati na vyama vya upinzani kwa pamoja vinakosoa muswada huo, baadhi ya vikundi hivyo vina ionya serikali kuwa muswada huo unaweza ainisha ubaguzi.
Rasimu ya muswada waubaguzi wakidini ya serikali yazua hisia mseto

Viongozi wakidini wanahofu rasimu ya sheria dhidi ya ubaguzi wakidini, itatoa kinga kwa watu kuvunja sheria katika jina la dini. Source: AAP
Serikali ya shirikisho imetoa rasimu yake ya muswada unaokabiliana na ubaguzi wakidini, wenye lengo laku linda haki zawa Australia, kuweka wazi imani zao zakidini.
Share