Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Historia ya chama cha Labor nchini Australian

Kiongozi wa chama cha upinzani Bill Shorten
Kiongozi wa chama cha upinzani Bill Shorten Source: AAP

Chama cha Australian Labor Party ama ALP kwa ufupi ndicho chama cha siasa kikongwe zaidi nchini Australia.


Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS



Share this with family and friends


Chama cha Australian Labor Party ama ALP kwa ufupi ndicho chama cha siasa kikongwe zaidi nchini Australia.


Chama cha ALP kime wania uchaguzi wa mikoa nchini Australia tangu mwaka wa 1891 na kila uchaguzi wa shirikisho tangu mwaka wa 1901 na chama hicho kinajivunia historia yao ndefu yaku tetea haki za wafanyakazi.

Licha ya umaarufu wake chama cha ALP kili anza kampeni ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kikiwa na ushawishi mdogo licha yakuongozwa na afisa wazamani wa chama cha wafanyakazi.

 

 

 

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now