Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Historia ya chama cha Australian Liberal Party

Waziri Mkuu wa Australia Malcolm Turnbull
Waziri Mkuu wa Australia Malcolm Turnbull Source: AAP

Chama cha Liberal cha Australia kili anzishwa zaidi ya miaka 70 iliyopita, kufikia sasa mwanzilishi wa chama hicho ndiye ambaye ame hudumu kwa muda mrefu zaidi kama waziri mkuu katika historia ya Australia.

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS

Share this with family and friends

Chama cha Liberal cha Australia kili anzishwa zaidi ya miaka 70 iliyopita, kufikia sasa mwanzilishi wa chama hicho ndiye ambaye ame hudumu kwa muda mrefu zaidi kama waziri mkuu katika historia ya Australia.

Sir Robert Menzies ana ushawishi mkubwa pamoja naku heshimiwa miongoni mwa wanachama wa Liberal.
Hata kama chama hicho kimepitia mabadiliko mengi katika miongo iliyopita, hata hivyo chama hicho kime endelea kuhifadhi tamaduni zakihafidhina.

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now