Wakazi wa NSW wata ingia katika vituo vyakupiga kura jumamosi 23machi2019, kuamua atakaye ongoza jimbo hilo kwa muda wa miaka minne ijayo.
Ushindani wakura ni mkali; matokeo kadhaa yakura ya maoni yameonesha serikali ya mseto na chama cha Labor ikiwa una uvutio sawa katika kura za upendeleo za vyama viwili kabla ya uchaguzi.
Wapiga kura wanao fuzu, wana hadi saa kumi na mbili jioni ya jumamosi 23 Machi 2019, kupiga kura zao.
Share






