Msanii Bankslave akiwa kwenye mapumziko baada ya kazi Source: Picha Victoria LewisSBS Swahili ime zungumza na msanii wa chata kutoka Kenya, Bankslave ambaye ametua mjini Adelaide, Kusini Australia kushiriki katika tamasha ya sanaa.
Published
Updated
By SBS Swahili
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode contentShare this with family and friends
SBS Swahili ime zungumza na msanii wa chata kutoka Kenya, Bankslave ambaye ametua mjini Adelaide, Kusini Australia kushiriki katika tamasha ya sanaa.
Tamasha hiyo ya sanaa ime andaliwa na Bi Victoria Lewis, mwanzilishi wa shirika la SANAA: A Better World Through Creativity.
Kwa maelezo ya ziada kuhusu tamasha hiyo tembelea tovuti hii: www.abetterworldthroughcreativity.com/streetfestival