Tamasha hiyo ya sanaa ime andaliwa na Bi Victoria Lewis, mwanzilishi wa shirika la SANAA: A Better World Through Creativity.
Sanaa yakiafrika katika mitaa ya Adelaide-WiseTwo
Msanii WiseTwo akiwa kazini Source: Picha: Victoria Lewis
SBS Swahili ime zungumza na msanii wa chata kutoka Kenya, WiseTwo ambaye ametua mjini Adelaide, Kusini Australia kushiriki katika tamasha ya sanaa.
Share