Kaymist4 ni msanii wa graffiti kutoka Kenya, ali eleza SBS Swahili kuhusu uzoefu wake waku shirikiana na wasanii wa Australia, pamoja na mafunzo atakayo peleka Kenya kuboresha kazi yake.
Wakenya wapamba mitaa ya Adelaide kwenye tamasha ya SANAA 2018 #Kaymist4

Kazi ya msanii Kaymist4 mjini Adelaide, Kusini Australia Source: SANAA Festival
Tamasha ya pili ya SANAA mjini Adelaide ilijumuisha kwa mara nyingine ushirikiano kati ya wasanii kutoka Kenya na wenzao wa Australia.
Share




