Ni haba kwa raia wa Australia wenye asili ya Afrika, kujipendekeza kuwa wagombea katika uchaguzi wowote, badala yake wengi wao hushiriki tu katika mchakato wa siasa nchini kwaku piga kura tu.
SBS Swahili ilizungumza na mpiga kura ambaye ni raia wa Australia mwenye asili ya Afrika, kwa ajili yakupata uelewa wa swala hili.
Share
