Katika jimbo la magharibi Australia, wa Australia wenye asili ya Afrika wanageuzi sehemu za makazi yao kupanda mimea tofauti, nakuhifadhi vyakula vyakipekee vya asili yao.
Wahamiaji wakiafrika, wageuza makazi yao kuwa vikapu vya vyakula

Jamii yashiriki katika mavuno, katika bustani ya jumuia ya mjini Source: Getty Images
Kwa wahamiaji wengi na wakimbizi, kuendelea kushiriki katika vitu vyakitamaduni vyaku kuwa nakula chakula ni muhimu katika harakati zao zaku jenga maisha mapya nchini Australia.
Share