Tamasha la Africultures linatupa hisia yaku jumuishwa nchini Australia

Vijana wakiafrika wa hudhuria tamasha ya 11 ya tamaduni zaki Afrika, mjini Lidcombe, NSW, Australia 9Machi2019 Source: SBS Swahili
SBS Swahili ilihudhuria maonesho ya 11 ya tamasha la Africultures 2019, katika uwanja wa Wyatt Park, Lidcombe, NSW ambako tulizungumza na baadhi ya wanachama wa jamii zinazo zungumza Kiswahli kuhusu vilivyo wavutia katika tamasha hilo.
Share