Baada ya uchaguzi nchini Burundi, nini kitafuata?

General Evariste Ndayishimiye addresses, Jan 26, 2020 at Gitega,Burundi, during the ruling party CNDD-FDD's congress to nominate it's presidential candidate. Source: STRINGER/AFP via Getty Images
Evariste Ndayishimiye ashinda uchaguzi wa Burundi. Kiongozi mzoefu wa kijeshi ataongazaje nchi hiyo? Sikiliza uchambuzi ufuatao ukiangazia masuala ya uongozi nchini humo.
Share