Vijana hao walihitaji ushindi katika mechi yao dhidi ya wapinzani wao wakaribu Senegal, na ndivyo walivyo fanya katika mechi iliyokuwa na ushindani mkubwa mno.
Nahodha wa timu hiyo Akram pamoja na Mwalimu wao Bw Benin, walieleza SBS Swahili jinsi walivyo jiandaa kwa mechi hiyo mhimu pamoja na matarajio yao katika mechi ya mwisho yamakundi.
Bw Akram alisisitiza kuwa lengo kuu la timu yake nikushinda kombe hilo, licha ya ushindani mkubwa utakao kuwa mbele yao kutoka timu zingine.